POST (POWER ON SELF TEST)
Na @lucas.
Ushwai kujiuliza kwanini computer haiwaki moja kwa moja mbaka ubofye f1? Au kwanini computer haiwaki bali inakulete beep code?
BIOS – Is the basic of input/output is the small piece of software that control the basic of hardware functionallty of computer and it’s saved in an EPROM CHIP Of the motherbord.
The system bios program start by invoking a special program (stored on a Rom chip) Rom chip imeifadhi firmware ambayo imebaniwa katika Rom kwa kirefu rom ni “read only memory” Ambayo ime contains basic instructions ni kitu gani kinaitajika baada ya computer kuiwasha.
Firmware –Zinatoa basic code ili computer kuweza kuwaka hizi zinatengenezwa programmer ambao wanasoma programming language
Vitu vifatavyo vinafatwa kabla ya computer kuwaka ambavyo
POST-ni kirefu cha “power on self test” inagalia computer hardware za ndani,Kuhakikisha kuwa hakuna kosa lolote/ubovu wotete katika hardware za ndani kabla ya kufunguka kwa “Os” kirefu chake ni open stystem. Endapo computer itafaulu katika post computer inaweza kutoa single beep (same computer zinaweza kutoa beep twice) kuiyanzisha na kurudia tena kufunguka. However kama computer itafeli katika katika power on self test(post) inaweza isilete beeps au ikatengeza beep code na ikamueleza mtumiaji kwa kupitia hizo beeps code kuwa tatizo lipo sehemu gani/Katika hardware gani ya ndani ya computer. Beeps code ni nini mlio flani hivi inaweza ikaleta milio mara tatu mfano titiiiii ! tiiiiii! Tiiiii! au mara tano hizi beeps code zinatolewa kuna spika ya ndani ipo katika motherboard ,hii kama nilivyopata kusema hapo juu inaweza kulia hizo beeps/Kutengenezwa hizo beeps code kutokana na tatizo katika hardware flani yenye Tatizo. N.b beeps code zinatofatia so ntaleta jinsi gani utakavyo skia hizo beeps code na kupata kufahamu tatizo lilipowapi . Siyo kila pc inaweza kuleletea hizo beeps code kwakutumia spika iliyopo katika motherboard bali nyengine zinaweza kukuonyesha hizo beeps code kwa kuleta taa zilizopo hapo katika computer yako,Kwa mfano paaap unaiwasha computer yako na ikafeli katika post inaweza hizo taa zilizopo hapo katika kitufe cha kuwashia au popote zilipowekwa/kutokana na PC zinatofautiana,Iinaweza kukuonyesha kwa kukuendiketi yani kuwaka na kuzima ! kuwaka na kuzima! Kutoka na hizo beeps code za tatizo katika hardware za ndani,kama nilivyopata kusema hapo juu beeps code zinatofautiana Kwa mfano labla tatizo lipo katika RAM SLOT inaweza ikawa beeps code ni tano ili mtumiaji apate kuelewa aaah! Kumbe tatizo lipo katika “ram slot” .
Tip: Hakikisha kama utawasha computer yako na hakuna kitu chochote kilichotekea( hakuna mwanga hakuna sauti na hakuna uzungukaji wa feni n.k )The computer has a power related issue.
Subscribe to:
Posts (Atom)
CCTV. CAMERA EXPLANATION
A CCTV security system is essential for any type of business or public organization. Therefore it’s vital to select the right CCTV camera f...

-
A CCTV security system is essential for any type of business or public organization. Therefore it’s vital to select the right CCTV camera f...
-
Main components of computer I- Mouse ii keyboard iii. Monitor iv system case Computer systems components ~ Hardware is ...
-
What are RFCs A RFC (Request for Comments) is a pure technical document published by the Internet Engineering Task Force (IETF). Request fo...